vKlass
Version 1.1.0 💾 4 Mb
📅 Updated July 17, 20
Features vKlass
vklass ni jukwaa la uhakika linalokusogezea ujuzi na maarifa kiganjani mwako popote ulipo.
vKlass inakupa fursa ya kujifunza na kupata ujuzi wa fani mbalimbali kama Ujasiriamali, Biashara, Kiingereza, Ukulima na Ufugaji, Kazi, Afya na mengine mengi.vKlass ni mkombozi atakaekuwezesha kifikia malengo yako!
Simu yako, Darasa lako!
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the vKlass in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above